Jinsi ya Kucheza
Kisia neno katika majaribio 6.
Kila kisia lazima kiwe neno halali la Kiswahili lenye herufi 5.
Rangi ya vigae itabadilika kuonyesha jinsi kisia chako kilivyokaribia neno hilo.
W
I
N
G
I
W imo kwenye neno na iko katika nafasi sahihi. (Mfano: WINGI)
F
I
K
R
A
I imo kwenye neno lakini iko katika nafasi isiyo sahihi. (Mfano: FIKRA)
U
P
E
P
O
U haimo kwenye neno katika nafasi yoyote. (Mfano: UPEPO)